Habari! Karibu kwenye kituo chetu cha Msaada. Tafadhali andika mada au jina la jambo ambalo unataka kuulizia.
Albamu
Albamu ni mahali ambapo unaweza kujionyesha kwa ulimwengu. Hapa ndipo unaweza kuonyesha ubunifu wako zaidi kwa Fiesta. Tumekupatia vyombo vya hivi karibuni vya kuwasilisha kwanza alafu kushiriki maisha yako ya kila siku na watu unaojua na pia watu wengine. Angalia sehemu hii ili kujifunza mambo yote kuhusu vile unavyoweza kuund albamu zako mwenyewe.
Picha au video zozote ambazo umeamilishwa ni lazima yafuate sera Sheria na Masharti, ambayo ina maanisha hakuna picha za ngono au picha zisizofaa. Oh na tafadhali usiibe picha za wateja wengine, haikubaliki na sisi tunaweza kulazimishwa kuzuia akaunti yako. Picha ambazo zimeamilishwa kwenye sehemu ya “Picha zako” lazima zionyeshe utambulisho wako. Kwa hivyo ukiamilisha picha ya rundo ya watu au ya picha ambayo huonekani, wasimamizi wetu watakupatia nafasi ya kuunda albamu mpya ya picha. Picha zingine zote au video zinaweza kuamilishwa kwenye albamu ambazo umeuunda.